×

Trump na Mitindo Yake 6 ya Kufurahia Maakuli Yake

KAMA binadamu wengine, Rais Donald Trump wa Marekani ana mapenzi au mitindo yake ipatayo sita ya kuurahia chakula au maakuli yake.  Aina hizo kuu zinazofahamika ni zifuatazo:

  1. Anapenda nyama iliyopikwa na kukausha vyema.2. Ni shabiki wa vyakula vya mahoteli ya McDonald’s.
    3. Anapenda vyakula (vikavu) visivyokuwa na majimaji au michuzi
  2. 4. Hata kama ni kuku lazima amle kwa uma na kisu.
    5. Pizza nayo lazima iliwe kwa uma na kisu.
    6. Hanywi bia.
    Trump ‘hanywagi’ bia au kinywaji chochote kinachoweza kuwa na kilevi, bila shaka anajisifia kwa hilo.