
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi amezindua rasmi ziara yake ya siku 20 ambapo atatembelea na kukagua miradi mbalimbali katika wilaya hiyo ambapo alianza na kata ya Tandale na ku kusema kuwa ziara hiyo ni kwa kusudio la kutatua kero za wananchi wa wilaya yake.
