Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, akizungumza na wakazi wa mji wa Mbalizi (hawapo pichani) waliompokea alipowasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. Wakazi wa Mbalizi waliojitokeza kumpokea Samia.Samia akisalimiana na wakazi wa Mbalizi.