×

Mwili Wa Mama Shigongo Watolewa Nyakato, Wapelekwa Buchosa

Waombolezaji wakitoa jeneza lenye mwili wa mama yake Shigongo tayari kwa safari ya kutoka Nyakato kwenda Bupandwamhela kwa ajili ya mazishi.
Shigongo (wa kwanza kulia) akisaidiana na waombolezaji kubeba jeneza hilo.
Mwimbaji nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha (mwenye kofia),  akiwa miongoni mwa waombolezaji waliobeba jeneza.
Baada ya jenza kuwekwa ndani ya gari.
Gari lililobeba jeneza likiwa tayari kwa safari ya kwenda Bupandwamhela wilayani Buchosa ambako mazishi yatafanyika.

BAADA ya jana (Jumatatu) mwili wa marehemu Bi. Asteria Kahabi Kapela,  ambaye ni mama wa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  kuwasili Nyakato, Mwanza, leo Jumanne umepelekwa Bupandwamhela,  wilayani Buchosa,  kwa ajili ya mazishi ambayo yanatarajiwa kufanyika kesho Jumatano.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

Alichokisema COYO Msibani kwa Mama Shigongo