×

Simba Wafanya Shopping Ya Nguvu Uturuki

Kikosi cha Simba jana kilitembelea maduka makubwa ya Symbol Mall kwa ajili ya kununua vitu mbalimbali vya michezo na zawadi kwa familia zao.

Wachezaji wa Simba na viongozi wao wa benchi la ufundi wakiingia dukani.
Beki wa Simba, Pascal Wawa raia wa Ivovy Coast akichagua nguo.
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco (mbele) akiongozana na beki wa timu hiyo, Shomary Kapombe.
Beki Yusuph Mlipili (kulia) akiwa na kipa Aishi Manula.
Meddie Kagere (kushoto) akiwa na Emmanuel Okwi.