
IBADA ya kumuaga mama mzazi wa Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group. Eric Shigongo, Bi. Asteri a Kahabi Kapela, imeanza kufanyika nyumbani kwake kijiji cha Bupandwamhela, Sengerema Mwanza, ambako atazikwa leo.






PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL