Mwili wa marehemu Bi. Asteria Kahabi Kapela ukiingia katika Parokia ya Mt. Agata lilopo Mikocheni B kwa ajili ya kufanyiwa Misa leo.Wajukuu wa marehemu wakiingia kanisani na Jeneza lilobeba mwili wa marehemu.Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric James Shigongo (kushoto) akiangalia jeneza lilobeba mwili wa mama yake.Jeneza lilobeba mwili wa marehemu likiwa kanisaniWajukuu wakiwa ndani ya kanisa