LIVE: Mwili wa Mzee Majuto Wapelekwa Makaburini Global Publishers August 10, 2018 4,748 views SHARE THIS: Mwili wa Msanii nguli wa vichekesho nchini, Mzee Majuto umetolewa msikitini na kupelekwa katika makaburi ambako atazikwa baadaye leo jijini Tanga. SHARE THIS: