MSANII wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert ameachia video ya wimbo wake mpya wa NIPE.Audio ya wimbo huu imetengenezwa na Crucial Sounds/Johntez na video imeongozwa na TrueDpictures/SammyD.
Kutazama video hiyo, Ingia Global Publishers App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini: