×

BREAKING: NACTE Yatoa Maagizo Makali kwa Vyuo vya Ufundi- Video

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi NACTE limezitaka taasisi zote zinazotoa elimu na ya Ufundi nchini kuhakikisha kuwa zimesajiliwa na baraza na kutoa Progarm ambazo zinatambuliwa na NACTE.

 

Katika kuhakikisha ubora wa elimu na mafunzo ya ufundi yanayotolewa katika vyuo vya ufundi yanakidhi mahitaji soko la ajira nchini pamoja na kimataifa NACTE ndio wanaratibu udahili wa Wanafunzi katika taasisi na vyuo mbalimbali zinavyotoa elimu na mafunzo ya ufundi nchini.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA