×

Taarifa Muhimu Kutoka Ofisi ya Rais- IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, atafanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kati ya tarehe 3 na 10  Septemba, 2018.