×

JPM AWALILIA 11 WALIOFARIKI AJALINI MBEYA – VIDEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia ajali iliyotokea leo katika mteremko wa mlima Igawilo jijini Mbeya baada ya Lori lililokuwa na shehena ya viazi kutoka Tukuyu kwenda Mbeya mjini kugonga Magari matano likiwamo dogo la abiria.

TAZAMA TUKIO HILO HAPA