×

LUGOLA Alivyofurahia JPM Kumtimua Mkurugenzi! – VIDEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa kumtimua Mkurugenzi aliyekamatwa na ubadhilifu wa fedha za serikali kwenye ziara yake mkoani Simiyu.