Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kutoa ufafanuzi kuhusiana na matumizi ya bajeti yake inayopitishwa Bungeni hapo huku akiwataka wabunge kutoudharau wala kuukejeli mhimili wa Bunge.