×

Baba Sonia wa Masogange Afunguka A-Z Maisha ya Mwanae – Video

Ikiwa imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa Mwanamitindo maarufu Bongo, Agness Masogange, afariki dunia na kumuacha mtoto mmoja anayeitwa Sonia.

 

GLOBAL TV imemtembelea Baba mzazi wa Mtoto huyo ambaye ni mzazi mwenza wa Masogange na kuzungumza nae kuhusiana na maisha ya mtoto huyo ambaye amemaliza elimu yake ya msingi siku chache zilizopita.