×

KUSALITIWA KUNAUMA ILA KUMUACHA , KUMPIGA SIYO SULUHISHO !

Image result for black american couples ARGUE

NI wiki nyingine tunakutana tena kupitia safu hii ambayo kimsingi tunakumbushana na kuelimishana juu ya mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi. Naamini wewe msomaji wangu umzima bukheri wa afya na uko tayari kabisa kupitishia macho kile ambacho nimekuandalia kwa siku hii ya leo.  Mpenzi msomaji, hakuna kitu kinachouma katika uhusiano wa kimapenzi kama kusalitiwa kiasi cha baadhi kufikia hatua ya kujiua ama kuwa vichaa wanapokumbana na tatizo hilo.

Kwa wanaume, wengi wanapobaini kuwa wapenzi wao wanawasaliti wamekuwa na kasumba ya kutunisha misuli na kuonesha umwamba kwa kuwatwanga makonde au kuwafanyia mbaya wale waliowanasa nao kisha kuwaacha wapenzi wao. Hili limebainika si jambo sahihi hasa linapotokea kwa watu wawili waliotokea kupendana. Kuna wengi ambao waliwafumania wake zao, wakawapiga na kuwajeruhi, lakini wakajikuta hawakukomesha tatizo, zaidi ya kuwapa usugu wapenzi wao wa kuendeleza wizi tena kwa dharau na kejeli huku wakibembelezana.

Kama nilivyosema awali, usaliti ni jambo linalouma kwa kiwango kikubwa. Hakuna suala la kuazima mke katika maisha, watu huazimana magari na pesa lakini laazizi, hakuna jasiri wa namna hiyo! Huo ndio ukweli wenyewe lakini, kupiga au kuacha unapobaini mpenzi wako amekusaliti kunasaidia? Jibu la kitaalum ambalo naamini kuna wanaoweza kulikataa ni kwamba hakusaidii. Hakusaidii kwa sababu, ukimpiga hiyo ni adhabu inayoishia hapo hapo, kesho wanakutana, wanakusaliti tena kupozana machungu.

Ukimwacha utakutana huu huwasumbua zaidi wanaume wenye umri wa kati ya miaka 30-50, ingawa wapo wanawake ambao pia hupatwa na tatizo hili, hasa baada ya kufikia kipindi cha ukomo wa hedhi. Kwa wanaume, kundi linalosumbuliwa zaidi na tatizo hili, ni wale wenye uzito mkubwa na wenye matatizo ya shinikizo la juu la damu.

Dalili za ugonjwa huanza kuonekana pale tindikali ya yuriki (uric acid), ambayo huzalishwa ndani ya mwili, inaporundikana kwenye viungio vya mwili na katika majimaji ya mwili, hivyo kusababisha maumivu makali kwa mhusika na mara nyingi, hutokea ghafla ukiwa umelala au unafanya shughuli yoyote ambapo utahisi maumivu makali kwenye ‘joints’.Related image

Nakushauri achana na matumizi ya mitishamba, nenda hospitali kaonane na daktari ambaye atakufanyia vipimo vya kitaalamu na kukuandikia dawa za kutumia ili kumaliza kabisa tatizo lako. nao mitaani wakiwa wameshikana mikono kwa uhuru na raha zao, wewe utaumia sana moyoni mwako. Ukiwaua na wewe utauawa, huku wanadamu wenzako wakikucheka kwa uzembe wa kufikiri. Jamani usaliti upo, si tunawaona wake na wapenzi wa watu wanaingizana gesti kila siku?

Hivyo basi, kama hujamfuma mpenzi wako leo kuna siku utakutana na meseji kali za kimahaba zikitoka ama kwenda kwa mwanaume mwingine. Utafanyaje baada ya kubaini hivyo? Maana kama ni tukio basi utakuwa umelishudia laivu bila chenga. Wiki hii nataka kutumia safu hii kuwaelimisha wanaume wenzangu adhabu sahini ya kumpa mpenzi wako pale utakapomfumania ama utakapobaini anakusaliti kwa namna moja ama nyingine.

Wanaume katika suala hili wanatakiwa kuweka kando mambo ya mabavu. Kwa  mfano chukulia mwanaume amemfumania mpenzi wake gesti uso kwa macho akimsaliti na mwanaume mwingine, anachotakiwa kukifanya kwanza ni kupiga moyo konde kisha kuondoka eneo hilo tena kwa kukimbia. Ukifika nyumbani, endelea kunywa maji ili kupoza presha. Akirudi mpenzi wako jitahidi kumkaribisha kwa bashasha, lakini usimuulize ulichoona.Image result for black american couples

Au kama umenasa meseji za kimahaba kutoka kwa mwizi wako, zitume kwenye simu yako kwanza, kisha baada ya siku ukimaliza uchunguzi wako mtumie tena sms hizo mkeo au mpenzio. Ukifanya hivyo usimuulize, endelea kumpenda na ikiwezekana ongeza matunzo. Nunua ‘mikuku’ akaange kila siku.

Nakwambia ukifanya hivyo mpenzi wako ataumia sana na hataendelea kukusaliti kwa kuwa atakuwa anawaza unafikiria kumfanya nini? Na kwa yule uliyemshika naye, vivyo hivyo usizozane naye, mwache! Utashangaa anahama eneo maana atakuwa anafikiri unamwandalia kombora kumbe wewe wala, umeamua kujituliza tu! Hii ndiyo dawa ya mtu msaliti. Mwadhibu kwa upole, wanasaikolojia wameithibitisa adhabu hii kuwa ina uchungu zaidi ya ile ya kupiga au kukemea licha ya kwamba, ni adhabu inayohitaji ujasiri wa hali ya juu