×

Video: KIBADEN Una Kagere na Okwi Lazima Wakupige


Nyota wazamani wa klabu ya soka ya Simba Kibadeni amesema anawaamini zaidi wachezaji wa Simba kuliko Yanga kwakuwa kikosi bora kwa hivi sasa Katika ligi kuu Tanzania Bara,akiamini matokeo katika mchezo huo yame bebwa na simba