×

TIGO FIESTA SUPA NYOTA YAVUMBUA VIPAJI MKOANI RUKWA

Washiriki wakiwa kwenye mchujo wa mwisho uliotoa washindi wawili ambao watapanda kwenye jukwaa la Tigo Fiesta kesho uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga na kupata mshindi mmoja.
Majaji wakiongozwa na Jaji Mkuu, Adam Mchomvu (mwenye miwani), wengine toka kulia ni Afisa Michezo Manispaa ya Rukwa, Adam Evarist, Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Rukwa, Charles Kiheka na kushoto ni The Baton A ambaye alikuwa mshindi wa Tigo  Fiesta Supa Nyota mwaka jana.
Adam Mchomvu akiwa na washiriki waliopenya Tano Bora