×

YANGA YAIFUNGA ALLIANCE BAO 3-0, TAIFA

Kikosi cha timu ya Alliance kilichoanza dhidi ya Yanga leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Yanga Kilichoanza dhidi ya Alliance.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia kwa pamoja.
Wachezaji na benchi la uifundi la Alliance.
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa (katikati) akipambana na mabeki wa  Alliance.
Mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo akipongezana na Mrisho  Ngassa

TIMU ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Alliance leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mabao ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo, Mrisho Khalfan Ngassa na Ibrahim Ajibu.

Yanga wamefikisha pointi 19 na kutinga katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi.

PICHA NA MUSA MATEJA | GPL