×

USHAWAHI KUONA MAJI YANAVYOTENGENEZWA? TAZAMA HAPA – VIDEO

Sehemu kubwa ya mwili wa binadamu ni maji kwani maji ni uhai, japokuwa si kila maji huwa ni salama na kukufanya upende kunywa maji.

Jambo Food Product ni kiwanda pekee kinachotengeneza maji ya kunywa yenye kiwango cha kimataifa, lakini swali kubwa ni Je, Maji unayoyatumia unajua yanavyotengenezwa?

Wilson Mseti ambae ni meneja udhibiti viwango na Ubora wa kiwanda hiki cha maji anaeleza namna ya utengenezaji wa maji wa maji kiwandani hapo.