GOSPEL SOUND ni kipindi kipya kutoka GLOBAL TV chenye maudhui ya dini ya kikristo kinachokujia kila siku ya Jumapili kikiwa kimesheheni stori za burudani zinazowahusu waimbaji wa injili ndani na nje ya nchi.