×

JUX, JOH MAKINI WAACHA HISTORIA MWANZA TIGO FIESTA VIBE KAMA LOOTEE

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Juma Mussa maarufu ‘Jux’ akiwapagawisha mashabiki wake waliofika kwenye tamasha la Tigo Fiesta Vibe kama Lootee Uwanja wa CCM  Kirumba Mwanza.
Jux akikamua mbele ya mashabiki wake.
Mashabiki wakipata burudani mwanzo mwisho.

Msanii wa muziki wa HipHop, Tanzania kutoka kwenye kundi la WEUSI, Joh Makini akiimba kwa hisia.
Joh Makini akiwapagawisha mashabiki wake.