NANDY APAGAWISHA WAKAZI WA MWANZA TIGO FIESTA VIBE KAMA LOOTEE
Global Publishers October 28, 2018
SHARE THIS:
Msanii wa kizazi kipya anayefanya vizuri katika gemu la Bongo Fleva, Faustina Mfinanga ‘Nandy’akifanya yake stejini Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.Makamuzi mwanzo mwisho...Nandy akiendelea na makamuzi.