×

SPOTI HAUSI: OKWI ndiye mfungaji bora Tanzania Bara – VIDEO

Kipindi cha Spoti Hausi leo tena kitakuwa hewani ambapo wachambuzi wako watakuletea mambo mengi.

Pamoja na mambo hayo pia leo watajadili kuhusu uchaguzi wa Simba unaofanyika Jumapili ijayo, mechi ya Arsenal na Liverpool, muendelezo wa ligi kuu Bara na kwanini Emmanuel Okwi atakuwa mfungaji bora msimu huu.