×

ALIKIBA AITEKA KAHAMA, SHOO YAKE USIPIME!

Mwanamuziki  wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’,  akifanya yake usiku wa kuamkia leo mjini Kahama.
…Akikabidhiwa zawadi na mashabiki.
…Akiongea na mashabiki.

Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya aina yake mjini Kahama katika mkoa wa Shinyanga ambako mashabiki walisuuzika roho zao ipasavyo kutokana na shoo hiyo kuwa ya viwango vyote.

 

View this post on Instagram

 

KUTOKA KAHAMA SHOO YA ALIKIPA USIPIME! @officialalikiba – Fanya kama unajikuna #KingKibaInKahama #mofayabyalikiba #KingKiba

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on