×

HAWA JAMAA WATAUANA UEFA KESHO, JUMATANO

WIKI ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imerejea. Mechi za wiki hii ni muhimu, kwani kuna timu kubwa zipo hatarini kutupwa nje.

 

DONDOO MUHIMU

1) Kama Liverpool itashin­da dhidi ya PSG jijini Paris halafu Napoli ikashin­da dhidi ya Crve­na zvezda, PSG itakuwa imet­upwa nje ya Ligi ya Mabingwa. Lakini PSG in­aweza kupan­da kileleni kama ikishinda katika mchezo huo wa Kundi C.

 

2) Katika Kundi B Tottenham inatak­iwa ishinde dhidi ya Inter Milan, ikifungwa imetoka, na hata ikitoa sare itakuwa imeaga mashindano. Inter itaji­hakikishia nafasi kwa sare tu, Barcelona nao wanahitaji sare tu.

 

3) Real Madrid inahitaji ush­indi dhidi ya AS Roma ili ijihak­ikishie nafasi ya kwanza Kundi G, lakini Roma imeshinda mechi saba mfululizo nyumbani kwenye Uefa, huku ikiruhusu kufungwa mabao mawili tu.

 

RATIBA

NOVEMBA 27

Athens v Ajax 2:55 Usiku
CSKA v V. Plzen 2:55 Usiku
AS Roma v R. Madrid 5:00 Usiku
Bayern v Benfica 5:00 Usiku
Juventus v Valencia 5:00 Usiku
Lyon v Man City 5:00 Usiku
Man U v Young Boys 5:00 Usiku
Hoffenheim v S. Donetsk 5:00 Usiku

NOVEMBA 28
Atletico v Monaco 2:55 Usiku
Lokomotiv v Galatasaray 2:55 Usiku
Dortmund v Brugge 5:00 Usiku
FC Porto v Schalke 5:00 Usiku
Napoli v Red Star 5:00 Usiku
PSG v Liverpool 5:00 Usiku
PSV v Barcelona 5:00 Usiku
Tottenham v Inter Milan 5:00 Usiku.

 

NYON, USwisi