×


Championi

Kahata: Lazima tuwafunge UD Songo

WAKATI kikosi cha Simba, keshokutwa Jumapili kikitarajiwa kushuka uwanjani kucheza dhidi ya UD Songo ya Msumbiji, kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa timu hiyo, Mkenya, Francis…

SOMA ZAIDI
La Galaxy Wampa Ninja Namba 51

BEKI wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ juzi Ijumaa alitambulishwa rasmi katika mtandao wa klabu ya La Galaxy II kama mchezaji wa timu hiyo…

SOMA ZAIDI

Aussems Awagomea Wabrazil Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick aussems amesema haoni nafasi ya wachezaji wake watatu kutoka Brazil kupata namba za kudumu kwenye timu hiyo kutokana na…

SOMA ZAIDI
Boxer, Yondani Wabadili Ukuta

BEKI wa pembeni wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ ana hatihati ya kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, lakini taarifa ziwafi kie mashabiki wa…

SOMA ZAIDI

Ibrahim Ajibu Aingia Anga za Al Ahl

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu, amekiangalia kikosi cha timu yake na kutamka kuwa hawana sababu ya kuukosa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika…

SOMA ZAIDI

Azam Yaitambia Simba

KOCHA Mkuu wa Azam, Mrundi Etienne Ndayiragije amefunguka kuwa mchezo wao na Simba utakuwa na ushindani kwa kuwa sasa wote wanawakilisha nchi.   Azam itacheza…

SOMA ZAIDI


KASI YA SIBOMANA YAMKOSHA ZAHERA

KASI ya winga wa Yanga, Patrick Sibomana raia wa Rwanda ya kushuka na kupandisha mashambulizi imemkosha kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera na kuweka…

SOMA ZAIDI

Aussems: Tukutane Machinjioni

IKICHEZA kwa kujiamini na mbinu za hali ya juu, juzi Jumamosi Simba ililazimisha suluhu ugenini dhidi ya wenyeji, UD Songo ya Msumbiji. Katika mechi hiyo…

SOMA ZAIDITshishimbi Atamba, Kisa Sibomana

KIUNGO mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amekiangalia kikosi kipya cha timu hiyo na kutamka kuwa msimu huu utakuwa mzuri kwao wa kuchukua makombe yote…

SOMA ZAIDI


Kuwaona Balinya, Falcao Sh 50,000

UONGOZI wa Yanga umeweka hadharani viingilio vyake kuelekea mchezo wa dhidi ya Township Rollers ya Botswana wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kingilio cha juu…

SOMA ZAIDI

Tambwe: Zahera mpe unahodha Yondani

AMISSI Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani.   Yondani alipewa kitambaa…

SOMA ZAIDI

Ajibu Awatetemesha Chama, Kahata

KUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na Mzambia, Clatous Chama kwenye timu…

SOMA ZAIDI

Okwi Awaaga Simba, Aacha Ujumbe Mzito

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi juzi jioni amewaaga rasmi wachezaji wenzake aliokuwa nao katika kikosi cha Simba msimu uliopita huku pia akiwaachia ujumbe…

SOMA ZAIDI


Ndayiragije apania rekodi Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije, amesema, anachokifanya kwenye michuano ya Kagame nchini Rwanda ni kusaka rekodi ikiwemo kutetea kombe lao hilo.   Azam…

SOMA ZAIDI

Simba yampeleka Ajibu hospitali

UONGOZI wa Simba umesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo walianza kutua nchini kuanzia juzi Jumatatu na wanatarajiwa kuingia kambini Julai 15 lakini wataanza kwanza kufanyiwa…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online