TIMU ya wasanii watakaopafomu kwenye Tamasha la Wasafi Festival mkoani Iringa wakiongozwa na Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz, wametua mkoani humo tayari kwa kufanya maangamizi hapo kwenye uwanja wa Samora leo Ijumaa, Novemba 30, 2018.