×

Pichaz: Magufuli, Kenyatta Wazindua Kituo cha Huduma Namanga

Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua kituo cha pamoja cha huduma ya forodha Namanga, Arusha —  One Stop Border Post (OSBP) — upande wa Tanzania. kitakachorahisisha mchakato wa biashara kati ya Tanzania na Kenya.

 

 

 

…Wakipongezana baada kukifungua kituo hicho.
…Wakimwagia maji mti mara baada ya kuupanda.

 

…Wakiwa mbele ya alama kuu za kituo hicho.
…Wakionyesha ishara ya umoja katika mchakato wa uzinduzi huo.

…Wakikamilisha upandaji wa mti upand wa Kenya.

…Wakipata maelezo ya kituo hicho upande wa Kenya.
…Wakikata utepe  upande wa Tanzania.