×

VIDEO: Ukweli wa Harmonize kukutana na T.I Marekani

Kishindo cha tamasha la Wasafi Festival kinaendelea mkoa kwa mkoa ambapo Jumapili ya leo Disemba 02, itaangushwa bonge moja la burudani katika uwanja wa Jamuhuri Stadium kwa mtonyo wa Buku kumi tu, na tayari wasanii wote watakaopafomun kwenye shoo hiyo wameshafika Morogoro