×

TTCL Yasaini Mfuko wa Mawasiliano Kupeleka Huduma Vijijini

Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba (kulia) baada ya kusaini mkataba wa kusambaza mawasiliano maeneo ya vijijini leo jijini Dar es Salaam. Katikati  ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Issack Kamwele pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Maria Sasabo.
Kindamba (kulia) akisaini mkataba na Ulanga.
Kamwele akizungumza katika hafla hiyo.
…Akizungumza na watendaji wakuu wa makampuni ya simu yalioshinda zabuni ya UCSAF na watendaji wa mfuko huo.
Kindamba akibadilishana nakala ya mkataba na Ulanga.
Picha ya pamoja.