NAFASI ZA KAZI GLOBAL TV: UTANGAZAJI HABARI ZA SIASA NA BURUDANI
Global Publishers
December 18, 2018
4,708 views

GLOBAL TV ONLINE, ni televisheni ya mtandaoni (Online TV) yenye watazamaji wengi duniani, inahitaji watangazaji wa habari za siasa na burudani wenye uwezo na ari ya kufanya kazi kwenye televisheni.