Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi
Global Publishers December 18, 2018
SHARE THIS:
Msanii Nedy Music (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika viwanja vya Posta jinjini Dar es Salam Jumamosi. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo Masoko William Mpinga akifuatiwa na Mratibu wa tamasha hilo Gardner G Habash kutoka Clouds Media Group akifuatia na msanii Chege.Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo,William Mpinga (wa pili kulia) akiwa na mratibu wa Tamasha la Tigo Fiesta 2018, Gardner Habash (wa tatu kulia) pamoja na baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2018.Msanii Dogo Janja (wa kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salam Jumamosi. Msanii wa muziki wa kizazi kipya TID, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha kuhusu ushiriki wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2018 litakalofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es siku ya Jumamosi. Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga.