Papa Francis Atangaza Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya Global Publishers December 21, 2018 4,932 views SHARE THIS: Balozi wa Baba Mtakatifu nchini anayo furaha kutangaza kwamba, Baba Mtakatifu Fransisko amelipandisha hadhi Jimbo Katoliki la Mbeyana kuwa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya likiwa na majimbo ya Iringa na Sumbawanga SHARE THIS: