MWIJAKU Mmoja wa mashabiki wa simba kindakindaki amesema kuwa simba ni timu kubwa na watanzania hivyo ushindi lazima katika mechi hii ya marudiano. Simba ilifungwa katika hatua ya kwanza wakiwa ugenini dhidi ya Nkana ya Zambia ikiwa ni ligi ya mabingwa afrika.