
Pesa ya maana unaenda kuipata leo hii ambapo utabashiri na Meridianbet mechi zote za EURO. Huku Harry Kane kule Mitrovic nani kuibeba timu yake leo?. Tengeneza jamvi lako la ushindi sasa.
Mechi kali leo ni Serbia dhidi ya Uingereza ambao walifika fainali kwenye EURO iliyopita ya 2022. Uingereza wamepewa ODDS 1.47 kwa 7.84 kushinda mechi hii. Vijana hawa wa South Gate wanapewa nafasi ya kucheza fainali
Uingereza wana majina makubwa kama vile Harry Kane, Palmer, Foden, Mainoo, Rice na wengine huku kwa upande wa Serbia wao wana matumaini na Mitrovic ambaye anakipiga Al Hilal kule Saudia, Milinkovic Savic, Tadic. Je Uingereza kwenye EURO hii atafika wapi? Suka jamvi hapa.
Jumapili ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Kipute kingine kitakuwa kwenye mechi hii ya Slovenia dhidi ya Denmark ambao wanapigwa upatu sana kuondoka na pointi tatu muhimu leo. Kama kawaida Meridianbet huchagua vilivyo bora kwa kukuwekea ODDS KUBWA mechi hii yaani ni 5.09 kwa 1.76.
Huku Hojlund, Eriksen kutoka Man United, Christensen na wengine wanataka kuonesha ubora wao mbele ya Benjamin Sesko, Jan Oblak leo. Je Slovenia watakubali kuchapika leo baada ya mechi ya mwisho walipokutana 2023 kupoteza?. Jisajili hapa.
Katika Kundi D Poland wataumana dhidi ya Netherlands katika dimba la Volksparkstadion wakati Mholanzi akiwa amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.57 kwa 5.48. Timu hizi mbili mara ya mwsiho kukutana, ilikuwa 2022 kwenye Kombe la Dunia na Poland alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?
Uholanzi ana wachezaji wakubwa wenye majina makubw ambao wanacheza ligi kuu mbalimbali kama vile, Van Dijk, Memphis Depay, Nathan Ake, Gakpo na wengine kibao huku kwa upande wa Poland staa wao ni Roberto Lewandowski, huku wengine wakiwa ni Golikipa wao Szczeny, Nivola Zalewski na wengine. Nnai kuibuka mshindi?. Beti hapa.