×

USHIRIKINA: MKE Avishwa Sanda Kisa Upofu/Aitwa Maiti/Mume Amkimbia – VIDEO

Dunia ina mambo! hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia sakata la mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la, Velda Munuo, mkazi wa Msigani jijini Dar Es salaam, ambaye amejikuta akivalishwa sanda huku akiwa hai.

Kwa mujibu wake amesema alivishwa sanda katika kipindi ambacho alikuwa akitafuta matibabu ya matatizo ya macho.

Tazama video hii mpaka mwisho uweze kuona jinsi ambavyo dunia imebeba mengi ya kushangaza na kustaajabisha.