×

CCM wamvaa LOWASSA “Akae Atulie Alee Wajukuu” – VIDEO

KIUFUATIA uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Dkt John Magufuli, kumteua Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hichi, Ndugu Humprey Polepole, kuwa Mlezi wa chama kwa mkoa wa Arusha.

Global TV imezunguza na baadhi ya viongozi wa CCM mkoani Arusha na wamezungumzia ujio wa Polepole akiwa Mlezi wa Chama.

Aidha viongozi hao wamezungumzia mikakati yao na jinsi walivyojipanga katika kuhakikisha wanashinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika mwakani 2019 pamoja na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2020.