



SIMBA leo wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports katika mchezo wake wa kwanza kwa mwaka wa pili mfululizo na timu ya Mashujaa FC kutoka Kigoma katika Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.
Mabao ya Mashujaa Fc yalifungwa na Hamis dakika ya 47 kipindi cha kwanza, Jeremiah dakika ya 57 na Rajabu Athuman dakika ya 90 kipindi cha pili. Kwa upande wa simba mabao yamefungwa na Paul Bukaba dakika ya 19 na 78.
PICHA; MUSA MATEJA | GPL