Rais MagufuliRais Magufuli leo atakutana na viongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii (SSRA) asubuhi hii, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Matangazo yatarushwa na vituo vya Redio, Televisheni na mitandao. Watajadili Mafao ya wafanyakazi hususanani KIKOKOTOO.
