USIHANGAIKE sana kutaka urafiki na Staa wa Filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’, ukijitenga na umbeya tu umempata kirahisiii!
“Katika maisha yangu nawapenda sana watu ambao hawafuatilii mambo ya wengine, wako bize na yao, hata rafiki zangu wengi wako hivyo si watu wa mambo ya umbeyaumbeya,” alisema Odama alipozungumza hivi karibuni na Risasi Mchanganyiko.
Aliongeza kuwa: “Mimi nikimuona mtu hafuatilii maisha ya mwingine nampenda sana na tena nampa heshima yake kubwa, kwa sababu najua anajielewa.
“Kwangu mimi huyo anaweza hata kuwa rafiki yangu mkubwa, maana mtu ukiwa kila wakati unachunguza mambo ya mwenzako, yako utayafanya wakati gani?” alihoji Odama.
IMELDA MTEMA
WABONGO sio watu wazuri! Siku chache baada ya zilipendwa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuposti picha akiwa kwenye mavazi ya kihasara, upepo mbaya umempuliza baada ya Wabongo kumshushia matusi mazito kisa picha hizo.
Zari alijikuta kwenye ‘kitimoto’ hicho mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuposti kwa mara nyingine picha mbalimbali zinazomuonesha akiwa kwenye mavazi ya kuogelea yanayoonesha mauongo yake nyeti pembeni ya bwawa la kuogelea (swimming pool).
Kwenye picha hizo, mrembo huyo wa Kiganda mwenye maskani yake Afrika Kusini (Sauz), alionekana akiwa na wanawe huku katika baadhi ya picha akiwa na ‘wine’ kuonesha kwambaameamua ‘kutafuna’ maisha ndipo ‘wataalamu’ wa kuchamba watu bila sababu walipoanza kumshambulia.
Kupitia maoni waliyoweka kwenye picha hizo, walimnanga kwa kutumia maneno makali ambayo hayaandikiki gazetini hali ambayo ilimuibua Zari na kuposti kipande cha video kujibu mashambulizi na kwa sababu asilimia kubwa waliokuwa wakimchamba ni Wabongo, akaona naye bora awachambe kwa Lugha ya Kishwahili.
“Jamani nikitaka kuvaa swimming cost kwa swimming pool hiyo ni maisha yangu, ukitaka kuvaa dera hiyo ni maisha yako usinipangie maisha vile mimi sikupangii maisha naomba tuheshimiane, samahani,” alisema Zari.
WABONGO sio watu wazuri! Siku chache baada ya zilipendwa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuposti picha akiwa kwenye mavazi ya kihasara, upepo mbaya umempuliza baada ya Wabongo kumshushia matusi mazito kisa picha hizo.
Zari alijikuta kwenye ‘kitimoto’ hicho mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuposti kwa
mara nyingine picha mbalimbali zinazomuonesha akiwa kwenye mavazi ya kuogelea yanayoonesha mauongo yake nyeti pembeni ya bwawa la kuogelea (swimming pool).
Kwenye picha hizo, mrembo huyo wa Kiganda mwenye maskani yake Afrika Kusini (Sauz), alionekana akiwa na wanawe huku katika baadhi ya picha akiwa na ‘wine’ kuonesha kwamba
ameamua ‘kutafuna’ maisha ndipo ‘wataalamu’ wa kuchamba watu bila sababu walipoanza kumshambulia.