×

UTASHANGAA: Amuua Mkewe Akidai Penzi, Amchoma Visu Kikatili!! – VIDEO

Miongoni mwa matukio ya kutisha ya kukutoa machozi tangu mwaka 2019 uanze, hili linawezakuwa tukio namba moja la kikatili zaidi.

Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la Bakar Mselemu adaiwa kumchoma visu kikatili mke wake kwa kisa cha kushangaza sana.