×

MATUKIO DUNIANI: Kim Jong Un Akubali kukutana na Trump – VIDEO

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un amesema anaanza mwaka mpya kwa matumaini ya kuwa na mazungumzo zaidi ya Nyuklia na Rais wa Marekani, Donald Trump.