Mwanamuziki Amber Rutty na Mumewe Davil, wamefika tena katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili ya kusambaza video zenye maudhui ya ngono mitandaoni.
Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Februari 12, mwaka huu wa 2019.
