×

PRODUCER Wa Kwanza Wa Diamond, Afunguka Mazito – VIDEO

Ukisikiliza nyimbo za Diamond kwa sasa utasikia akiwataja ma prodyuza wake Lizer au Tudd Thomas ambao kwa kiasi kikubwa ndio wanaomtengeneza ngoma kali zinazomfanya aishi kwenye muziki.

Lakini yupo Prodyuza wa kwanza kabisa kumuibua Diamond ambaye wengi hawamfahamu, Anaitwa J Silk.

Kiupitia Exclusive Interview na Global TV, J Silk amefunguka jinsi ambavyo alianza kufanya kazi na Diamond, kazi alizofanya nae na alimuona wapi kipindi hicho, ni muhimu kufahamu wasanii wetu walipotokea Tazama interview hii hadi mwisho.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club