Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatano, Januari 16, 2018 amekutana na Rais mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, Ikulu jijini Dar es Salaam.