KUFUATIA kusambaa kwa ubuyu mitandaoni unaodai kuwa Mzazi Mwenza na Gigy Money, Mo J anamtumia meseji za kumtongoza Mchumba wa MC Pilipili ambaye juzi tu amemwaga machozi akimvalisha pete.
Global TV imemtafuta MC pilipili na kumuuliza kuhusiana na sakata hilo.