×

MO: Naipenda Simba Tangu Nikiwa na Miaka Minne – VIDEO

Mdhamini Wa Klabu ya Simba, MO Dewji, amesema mapenzi yake na klabu hiyo yalianza tangu akiwa mdogo ambapo alikuwa anasikiliza mechi mbalimbali kupitia redio wakati akiwa mdogo.