MUIGIZAJI wa filamu nchini, Mwijaku, ameendelea kumchapa kwa maneno Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, kuwa kamwe hataweza kumuoa Mchumba wake wa sasa Tanasha Kutoka Kenya licha ya kwamba wiki iliyopita amemtambulisha kwa wazazi wake.