×

Chuchu Hansy Afichua Mshtuko Aliopata Tessa Kusikia Chuchu Ana Ujauzito Wa Ray Kigosi – Video

Staa maarufu wa Bongo Muvi, Chuchu Hansy.

Staa maarufu wa Bongo Muvi, Chuchu Hansy amefunguka kuwa marehemu Grace Mapunda ‘Tesa’ alikuwa msiri wake na hata aliposhika ujauzito wa mtoto wake wa tatu, yeye ndiye alimgundua na wakawa wanasali pamoja kila siku.

Kutaka kujua ni siri gani Tesa alimuambia Chuchu basi Full interview itakuwa ndani ya Global TV.

Leave a Comment